Human Resource Manager(HR)-(1)
Mshahara:700000/=
Location:Arusha
Sifa:
Awe mzoefu katıka kazi husika kwa muda usiopungua mwaka mmoja
Awe na shahada inayoendana na kada ya raslimali and watu
Awe na uwezo wa kuongoza timu zilizotawanyika
Awe tayari kupatikana kwa haraka
*Mhasibu-(1)*
Mshahara:500000/=
Location:Arusha
Sifa:
Awe na shahada ya uhasibu.
Awe amefanya kazi za uhasibu kwa muda usiopungua mwaka mmoja
Awe anajua vizuri mfumo wa kihasibu
*Afisa mikopo -(1)*
Mshahara:400000/=
Location:Arusha
Sifa:
Awe na elimu isiyopungua shahada ya maswala ya usimamizi wa biashara na fedha
Awe amefanya kazi ya afisa mikopo kwa muda usiopungua mwaka mmoja (Aliyefanya Kazi Katika kampuni za mikopo ya magari atapata kipaumbele zaidi)
*Markerting Manager-(1)*
Mshahara:700000/=
Location:Arusha
Kamisheni:0.5% ya mauzo ya timu na 5-10% ya mauzo binafsi
Sifa:
Awe na elimu isiyopungua shahada ya masoko
Awe na uwezo wa kuheshimu malengo na kufikia małego ya kila mwezi
Awe na uwezo wa kuongoza timu si chini ya miaka miwili
Awe na uwezo wa kuongoza watu waliopo mbali
Awe na uwezo wa kutumia RASILIMALI KIDOGO KULETA MATOKEO MAKUBWA
Awe tayari kupatikana kwa haraka
*Front Officer(1)*
Mshahara:300000/=
Location:Arusha
Sifa
Awe na shahada ya fani yoyote IÅ‚a records itapewa kipaumbele
Awe mzoefu wa kuhudumia wateja wa aina mbali mbali
Ajue vizuri kiingereza na MS office package
*Recovering Officer (1)*
Mshahara:400000/=
Location:Arusha
Sifa:
Awe na elimu isiyopungua shahada ya maswala ya usimamizi wa Biashara na fedha
Awe amefanya kazi ya afisa mikopo kwa muda usiopungua mwaka mmoja
(Aliyefanya kazi katıka kampuni za mikopo ya magari atapata kipaumbele zaidi)
*Massanger (1 )*
Location:Arusha
Mshahara:200000/=
Sifa
Elimu kuanzia form four
Awe mwanaume
Awe mwenyeji wa maeneo husika
*Cooperate market (2)*
Salary:1,500,000/=
Location:Arusha
Qualifications:
Minimum bachelor degree in SALES/MARKERTING or related carrier
Experience not less than one year in cooperate marketing and /or sales minimum three years experience in no cooperate marketing model of marketing/sales
Capable to work under minimum supervision
Capable to work under target pressure
Capable to use minimum resources to deliver high results (high output)
Forward application to:
0699479827
0747969969
0 Comments